@Tuko

Chelsea, Real Madrid wasaini mkataba kubadilishana wachezaji nyota, habari kamili

10 months ago, 8 Mar 21:06

By: Philip Mboya

Nyota wa klabu ya Real Madrid Marco Asensio huenda atajiunga na Chelsea mwishoni mwa msimu huu.Inadaiwa kuwa mmiliki wa klabu ya Chelsea Roman Abramovich anamwinda mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 12.Inakisiwa kuwa Chelsea itamuuza Eden Hazard ili kusaidia katika kumsaini Asensio Ripoti zimeibuka kuwa Klabu ya Chelsea inamwinda nyota wa Real Madrid Marco Asensio baada ya kuibuka kuwa mmoja wa wachezaji bora zaidi kwenye ligi ya Uispania, La Liga. Habari Nyingine: Kulingana na ripoti iliyotolewa na Don Balon, mmiliki wa klabu hiyo Roman Abramovich anatumai kumleta nyota huyo mwenye umri wa mika 22 ili kujiunga na klabu yake. Aidha, ripoti hiyo imebaini kuwa Chelsea inanuia kumuuza Eden Hazard kwa klabu ya Real Madrid ili kusaidia katika kumpata Asensio kwa urahisi. Habari Nyingine:C Mabingwa wa ligi ya Uispania Real Madrid wamekuwa wakimwinda Eden Hazard kwa muda wa misimu 3. Habari Nyingine: Awali, jarida la TUKO.co.ke liripoti kuhusu jinsi Hazard alivyodokeza kuwa angejiunga na Bernabeu licha uvumi kuwa Los Blancos haiko huru kumwacha. Read Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Read More

Category: topnews news

Suggested

13 hours ago, 21:05
@Tuko - By: Fred Kennedy
Super sub Shaqiri scores twice as Liverpool schools Man United at Anfield

Substitute Xherdan Shaqiri came in to score twice and power Liverpool to 3-1 victory over Manchester United at Anfield. Mane opened scoring but Jesse Lingard canceled the Senegalese goal. The Reds are ...

Category: topnews news sports
1 hour ago
@Tuko - By: Francis Silva
Umbo jipya la aliyekuwa ‘ex’ wa Diamond Platnumz legeuka gumzo kubwa mitaani

Kuna mashabiki wake ambao hadi sasa bado wanaamini alifanyiwa upasuaji wa kiteknolojia ya kisasa kupunguza mafuta tumboni. Pia inadaiwa upasuaji aliofanyiwa unamzuia kula bila ya kujiwekea viwango na ...

Category: topnews news
13 minutes
@Tuko - By: Muyela Roberto
MP Didmus Barasa says Raila has outlived his political usefulness, should retire

In an earlier address, the lawmaker had claimed leaders allied to Raila had developed arrogance and used his handshake with President Uhuru Kenyatta to abuse and undermine the work of Deputy President ...

Category: topnews news
1 hours ago, 08:50
@Tuko - By: Francis Silva
Miguna apanga kurejea Kenya ingawa serikali inapinga uamuzi wa korti

Korti jijini Nairobi ilitoa uamuzi wake na kusema serikali ilikiuka haki za Miguna na kuamrisha alipwe KSh 7.2 milioni, hata hivyo serikali inahisi uamuzi huo haukuwa sawa na Jumatatu, Desemba 17 itak ...

Category: topnews news
3 hours ago, 07:48
@Tuko - By: Muyela Roberto
4 killed, 9 injured in Trans Nzoia village clash with police

The incident occurred after police arrested a man believed to have been involved in a domestic brawl with the wife and some residents violently attempted to free the suspect compelling the police offi ...

Category: topnews news
3 hours ago, 06:56
@Tuko - By: Jacob Onyango
DP Ruto insists maize farmers should stop whining about prices year in year out

DP William Ruto has asked leaders to be sincere with the electorate on the crop diversification discourse. He wondered why some leaders were opposed to diversification programme that is meant to end o ...

Category: topnews news politics

Our App