@Tuko

MCA ajuta baada kuuliza kwa nini wanawake wengi wa eneo lake hawana mimba

10 months ago, 8 Mar 19:34

By: Philip Mboya

Mwakilishi wadi katika kaunti Nyandurua alilazimika kukatiza hotuba yake baada ya kujaribu kuwashauri wanawake kuhusu masuala ya ujauzito. Gathure Wambui mwakilishi wadi wa Kiambaga alinyamazishwa baada ya kulalamikia idadi ndogo ya wanawake wajawazito Mwakilishi wadi katika bunge la kaunti ya Nyandarua alipatana ana kwa ana na hasira za wanawake wa eneo hilo baada ya kujaribu kuwashauri kuhusu uja uzito. Gathure Wambui mwakilisha wadi wa Kiambaga alilazimika kuliepuka suala hilo baada kunyamzishwa na wanawake waliomtaka aoe kwanza kabla kuwashauri kuhusu uzazi. Habari Nyingine: Akiwahutubia wananchi katika hospitali ya JM Memorial alikoandamana na wabunge wenzake, Wambugu alishangaa kuona kuwa wadi ya uzalishaji hospitalini humo ilikuwa wazi bila yeyote. Alilalamikia idadi ndogo ya wanawake wanaopata uja uzito katika eneo hilo. Habari Nyingine: Mbunge wa Nyandarua ajuta baada kuuliza kuhusu idadi ndogo ya wajawazito eneo hilo. Picha: Gathure Wambui/Facebook ''Tumeshangaa kumpata mama mmoja tu kwenye wadi ya uzalishaji. Vitanda vyote vi wazi. Hii ni ishara tosha kuwa wamama hawapati ujauzito’’ Gathure alisema. Wanawake hawakuyapenda maoni hayo ikikumbukwa kuwa mbunge huyo hana mke. Habari Nyingine: Mbunge wa Nyandarua ajuta baada kuuliza kuhusu idadi ndogo ya wajawazito eneo hilo. Picha. Picha: Gathure Wambu/Facebook ''Unatuambia nini, Una watoto wangapi? Hata mke huna, utaoa lini? Koma kutushauri kuhusu ujauzito.’’ Kina mama hao walimpigia kelele. Mbunge huyo alilazimika kuuomba msamaha na kuahidi kuoa hivi karibuni. Read Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Read More

Category: topnews news

Suggested

1 hours ago, 09:53
@Tuko - By: Mary Achebe
20 sassy and savage quotes for your ex

Are you looking for sassy and ⭐SAVAGE QUOTES⭐for your ex? This post has given a collection of the best savage quotes for your ex girlfriend and boyfriend that you can use in your Instagram captions. C ...

Category: topnews news
1 hour ago
@Tuko - By: Jacob Onyango
Lab test reveals fish imported from China contaminated with deadly toxics

A laboratory test has revealed samples of fish imported to the East African region from China are contaminated with heavy metals, which pose serious health risks to the consumers of the imported Chine ...

Category: topnews news
20 minutes
@Tuko - By: Mary Achebe
Simple and effective tips that will make you a pro at freestyle swimming

Do you want to learn ⭐HOW TO SWIM⭐ freestyle? This article has comprehensively given a complete guideline on how to go about it for a new swimmer. Check it out and follow it to emerge as the best free ...

Category: topnews news
Now
@Tuko - By: Christopher Oyier
Raila amsuta Ruto kwa kutumia maridhiano ya kitaifa kujipigia debe kisiasa

Kinara wa upinzani Raila Odinga amepuuzilia mbali matamshi ya naibu wa rais William Ruto kwenye ziara ya Rais Uhuru Kenyatta katika eneo la Nyanza. Raila alisema ilikuwa upumbavu kwa Ruto kuendeleza s ...

Category: topnews news
20 minutes
@Tuko - By: Linda Shiundu
Truth about leaked viral adult video allegedly shot at Imenti House, Nairobi

So a viral video of a couple having their adult moments at a clothes shop alleged to be at Imenti house has been the talk of town the entire weekend. Online detectives even went on to curry out their ...

Category: topnews news
1 hour ago
@Tuko - By: Muyela Roberto
MP Didmus Barasa says Raila has outlived his political usefulness, should retire

In an earlier address, the lawmaker had claimed leaders allied to Raila had developed arrogance and used his handshake with President Uhuru Kenyatta to abuse and undermine the work of Deputy President ...

Our App