@Tuko

Makahaba wajimwaya Eldoret kuwawinda maseneta?

1 months ago, 21 Sep 22:49

By: Philip Mboya

-Maseta wanatarajia kuandaa mkutano nje ya Nairobi kwa mara ya kwanza katika kaunti ya Uasin Gishu

- Inadaiwa kuwa mahakaba tayari wamefurika katika mji wa Eldoret siku chache kabla ya kongamano hilo

Habari Nyigine :

Makahaba wameanza kufurika katika mji wa Eldoret huku kongamano la maseneta likitarajiwa kufanyika mjini humo kuanzia Jumatatu, Septemba 23.

Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka

Bei za bidhaa tayari zimeanza kupanda katika mji wa Eldoret huku biashara zikitarajiwa kunoga.

Habari Nyigine :

Jarida la TUKO.co.ke limebaini kuwa mahoteli mjini humo tayari yamepandisha bei za lojing’i huku yakitarajia kuvuna faida kubwa kutokana na kongamano hilo.

Habari Nyigine :

‘’ Tuliamua kama wamiliki wa mahoteli kupandisha bei maradufu ili kuwazuia wenyeji maskini na kunyonya pesa kutoka kwa maseneta ambao wamepewa donge nono kutoka kwa ushuru wa wananchi,’’ mmiliki mmoja wa hoteli alisema.

Inadaiwa kuwa makahaba hao wamejimwaya mjini humo kung'ang'ania maseneta hao.

Habari Nyigine :

''Ijumaa, saluni zote zilikuwa zimejaa huku wanadada wakisonga nywele zao ili kujivunia vinono kutoka kwa maseneta ambao watakakuwa hapa Eldoret kuanzia wiki ijayo,’’ mmiliki wa saluni alisema.

Read

Una taarifa motomoto au sakata ambayo ungependa tuichapishe? Wasiliana nasi kwa news@tuko.co.ke, mwangi.muraguri@tuko.co.ke ,kwenye WhatsApp: 0732482690 na kwenye Telegram: Tuko News

Read More

Category: topnews news

Suggested

9 hours ago, 18:47
@Tuko - By: Lauryn Kusimba
Wimbo mpya wa Diamond Platinumz aliomshirikisha Rayvanny wapigwa marufuku

Wanamuziki maarufu kutoka Tanzania Diamond Platinumz na Rayvanny wamepata pigo baada ya wimbo wao mpya kupigwa marufuku na baraza la sanaa nchini humu.Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhi ...

Category: topnews news
9 hours ago, 18:37
@Tuko - By: Philip Mboya
Serikali yatangaza kufutilia mbali leseni za matatu yanayogoma

Waziri wa Uchukuzi James Macharia ametoa onyo kali kwa magari yanayogoma akieleza kuwa yatapokonywa leseni zao. Joseph Boinnet amethibitisha kuwa zaidi ya watu 2,000 wamekamatwa kote nchini kufuatia o ...

Category: topnews news
10 hours ago, 17:50
@Tuko - By: Philip Mboya
Kiongozi wa COTU Francis Atwoli aunga mkono operesheni kali dhidi ya matatu

Baadhi wa wamikili wa magari ya abiria walisitisha usafiri wakihofia magari yao yangenaswa. Waziri wa usalama Fred Matiang'i na uongozi wa NTSA wametishia kufutilia leseni za baadhi ya magari yanayosh ...

Category: topnews news
11 hours ago, 16:32
@Tuko - By: Muyela Roberto
2,000 Kenyans arrested on day one of crackdown against chaotic PSVs

The dragnet cast to net those abusing the freshly reinstated traffic rules has so far netted closed to 2,000 offenders. Those arrested, according to IG Boinnet, include matatu and private vehicle driv ...

Category: topnews news
10 hours ago, 16:58
@Tuko - By: Christopher Oyier
Saratani yamwangamiza mtahiniwa wa KCSE Nakuru

Familia moja katika kaunti ya Nakuru imeandamwa na majonzi baada ya kifo cha ghafla cha mtoto wao, Harrison Kiprono Mutai, 19, aliyekuwa mtahiniwa wa KCSE katika shule ya upili ya Sitoito. Mvulana huy ...

Category: topnews news
11 hours ago, 16:37
@Tuko - By: Philip Mboya
Serikali yawafuta wanafunzi 4 wa KCSE kwa udanganyifu

Alipoaahidi kuwa watakaopatikana wakivunja sheria za mtihani wa KCPE watachukuliwa hatua kali za kisheria, wengi walidhani ni mzaha kama Kawaida. Aidha, Amina ameahidi kuwachukua hatua kali za kusheri ...

Our App