@Tuko

Mashabiki wa Eric Omondi wamshambulia kwa kuwa na nguo nyingi kumshinda mkewe

3 months ago, 8 Mar 19:44

By: Philip Mboya

Mashabiki wa msanii wa ucheshi Eric Omondi wamemvamia baada ya kugundua kuwa ana nguo nyingi kumshinda mpenziwe. Kupitia kwa picha iliyochapishwa mtandaoni na Eric Omondi, wawili hao walikuwa wakisafiria Zanzibar huku sanduku la mpenziwe likionekana kuwa ndogo zaidi Mashabiki wa msanii wa ucheshi Eric Omondi walijitokeza kumlalamikia baada ya kugundua kuwa anajipenda mno. Hii ilibainika baada ya msanii huyo kuchapisha picha mmoja mtandaoni wakiwa na mpenziwe, Chantal Grazioli wakisafiria Zanzibar. Habari Nyingine: Mashabiki wake hao ambao walikuwa makini mno waligundua kuwa sandaku la Eric lilikuwa kubwa kulishinda la mpenziwe, ishara kwamba ana nguo nyingi kumshinda. Kwa kawaida inajulikana kuwa wanadada ndio huwa na nguo nyingi na hivyo wengi walishangaa kuona kuwa sanduku la Eric ndilo lilokuwa kubwa. Habari Nyingine: Hivi majuzi, mcheshi huyo alikuwa mada ya jiji baada ya kuonekana katika video moja akiwa uchi wa unyama akicheza na watoto wengine ufuoni. Eric aligundua kuwa alifanya kosa na akaomba msahamaha upesi kwa mashabiki wake kwa kuwakosea heshima. Haya ni baadhi ya maoni hayo Mashabiki wa Eric Omondi walalamika baada ya kutambua kuwa ana nguo nyingi kumshinda mkewe. Picha: Ericomondi /Instagram Farrahrezz920 @ericomondi hii si kawaida rafiki yangu ….mbona bag yak o ni kubwa kuliko ya @miss.chanty hahahaha Habari Nyingine: Lulumarsha Awwwwwww, Natumai sanduku kubwa ni lake na dogo ni lako……. Gentleman. Factor- gomez@farrahrezz920 Wakenyya lakini…Saa @miss.chanty Angekuwa amebeba kubwa ungesema @ericomondi is not man enough anabeba aje ndogo and the woman anabeba kubwa Saa @miss.chanty Angekuwa amebeba kubwa ungesema @ericomondi is not man enough anabeba aje ndogo and the woman anabeba kubwa zari_the_qeen Tangu utuonyeshe dudu sasa umejua kuvaa nguo Read Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Read More

Category: topnews news

Suggested

2 hours ago, 20:03
@Tuko - By: Asher Omondi
Expect heavy rains in next 7 days, weatherman issues notice

The Kenya Meteorological Department (KMD) has warned residents leaving in Western and Northern Kenya regions to seek refuge in highland areas. Central highlands and the south eastern regions will be c ...

Category: topnews news
2 hours ago, 19:49
@Tuko - By: Philip Mboya
Rais Uhuru ammiminia sifa Kanze Dena baada ya hotuba yake ya kwanza Ikuluni

Baada ya kuanza kazi rasmi kama msemaji wa Rais, aliyekuwa mwanahabari wa runinga ya Citizen Kanze Dena amemthibitishia Rais Uhuru Kenyatta kuwa alifanya uchaguzi bora huku akiichukua fursa ya kipekee ...

Category: topnews news
3 hours ago, 18:59
@Tuko - By: Douglas Baya
13 heartwarming photos of rapper Octopizzo cuddling with his 3 babies from different women

Octopizzo has never shared photos of himself hanging out with all of his children until recently when he warmed the hearts of his fans by sharing a photo of him posing with them all. For this and more ...

Category: topnews news entertainment
1 hours ago, 20:59
@Tuko - By: Jacob Onyango
DPP warns NYS suspects against using stolen cash to bail themselves out of prison

The Director of Public Prosecutions (DPP), Noordin Haji, has warned the National Youth Service (NYS) theft scandal suspects against using stolen cash to buy their freedom after High Court on June 19 g ...

Category: topnews news
3 hours ago, 18:49
@Tuko - By: Joshua Kithome
Murkomen ajitetea baada ya Wakenya kumuuliza alikopata mali yake nyingi

Hata kabla ya agizo lake Rais Uhuru Kenyatta la kuwafanyia maafisa wote wa serikali ukaguzi wa hali yao ya kimaisha ili kubaini waliopata utajiri wao kupitia ufisadi kuanza, joto kali linazidi kuwaand ...

Category: topnews news
1 hours ago, 20:29
@Tuko - By: Rene Otinga
How poor planning and silence snuffed life out of Ongata Rongai

Eunice spent the day at her stately air-conditioned office in Nairobi's upper Hill area. She doesn't own a car, yet. That makes her very conscious of time with the debilitating Magadi Road causing her ...

Our App