@Tuko

Mbunge huyu alionya serikali kuhusu kuzama kwa feri Tanzania

3 weeks ago, 19:37

By: Joshua Kithome

- Mbunge huyo, Joseph Mkundi aliitaka serikali kuirekebisha feri hiyo ya MV Nyerere kabla ya tukio hilo

- Mbunge huyo aliitaka serikali itoe injini iliyokuwepo na kuweka nyingine ila hakuna lolote lake lililozingatiwa

Mbunge machachari katika bunge la Tanzania alitabiri kuhusu mkasa mkubwa wa feri iliyozama ziwani Victotia siku ya Alhamisi, Septemba 20.

Habari Nyingine:

TUKO.co.ke imefahamu kuwa mbunge huyo wa eneo bunge la Ukerewe Joseph Mkundi alikuwa ameitaka serikali ya Tanzania kuifanyia feri hiyo marekebisho hasa katika sehemu ya injin iliyokuwa na matatizo kabla ya mkasa huo kufanyika.

Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka

Habari Nyingine:

Akiongea katika bunge la Tanzania wiki chache kabla ya tukio hilo la kujutiwa, Mkundi aliitaka serikali kubadilisha injini ya feri hiyo ya MV Nyerere kabla ya kuanza kutuma risala za rambirambi kwa wahasiriwa wa mkasa huo.

"Ningetaka kufahamu kutoa kwa serikali kuhusu suala ambalo tumekuwa tukiangazia kwa mara kadha. Ni kuhusu feri linalounganisha eneo la Ukerewe na kisiwa cha Ukara. Feri hili huwaudumia zaidi ya watu 50,000," Alisema.

Habari Nyingine:

Alisema kuwa hangetaka siku moja iwe kuna mchango bungeni kwa ajili ya mkasa huo au kutuma rambirambi kwa waliofiwa na kupoteza maisha yao.

"Singetaka kusikia siku moja mambo kama kuja hapa bungeni kuchanga pesa au kutuma risala za pole kwa watu wanaoweza kuzama nayo," Alisema Mkundi.

Kufuatia mkasa huo ambao umegharimu maisha ya watu 49, raia wa Tanzania walichapisha video ya mbunge huyo akionya serikali.

Read

Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke

Read More

Category: topnews news

Suggested

5 hours ago, 21:06
@Tuko - By: Joshua Kithome
Jinsi wanaume wagonjwa katika hospitali ya Kenyatta ni kero kwa manesi wa kike

Wauguzi katika hospitali kuu ya Kenyatta wamelalamikia tabia ya wagonjwa wa kiume ya kuwahangaisha kimapenzi, wakiwachungulia chupi zao ndani ya sketi na kuwataka kimapenzi katika wadi za hospitali hi ...

Category: topnews news
6 hours ago, 20:56
@Tuko - By: Caiaphas Wanjala
Bible quotes on forgiveness

Looking for something to help you forgive and move on? These Bible ⭐QUOTES ON FORGIVENESS⭐ emphasize on how important being at peace and forgiving your brothers and sisters can be. Great inspiration f ...

Category: topnews news
6 hours ago, 20:56
@Tuko - By: Mary Wangari
Sosholaiti Corazon Kwamboka ajutia mno baada ya kuchangia kuhusuJacque Maribe

Sosholaiti Corazon Kwamboka alijipata taabani mitandaoni baada ya kujaribu kuchangia masaibu yanayomzingira mtangazaji wa TV Jacque Maribe. Corazon, aliyefuzu kutoka chuo cha sheria 2016, alijaribu ku ...

Category: topnews news
7 hours ago, 19:55
@Tuko - By: Joshua Kithome
Timu ya Man United kuuzwa kwa raia wa Saudia, mtoto wa mfalme

Mwana wa mfalme wa taifa la Saudia, Mohammad Bin Salman mnamo siku ya Jumatatu, Oktoba 15 alionyesha nia ya kununua klabu, miamba wa soka nchini Uingereza Manchester United kutoka kwa familia tajiri y ...

Category: topnews news
7 hours ago, 19:50
@Tuko - By: Tuko.co.ke
Chebukati accuses former IEBC CEO Ezra Chiloba of engaging in shady deals

Speaking when he launched the national continuous voter registration exercise at Unoa grounds in Wote, Makueni county on Monday, October 15, the IEBC chair said the electoral body will be restructured ...

Category: topnews news
7 hours ago, 19:25
@Tuko - By: Mary Wangari
Raia wa kigeni aliyemtapeli mwanasiasa KSh 76M aachiliwa kwa dhamana

Raia wa Chad aliyebururwa kortini kwa madai ya kumtapeli aliyekuwa mbunge wa Garsen Danson Mungatana KSh 76 milioni ameachiliwa kwa dhamana, TUKO.co.ke imebaini. Abdoulaye Tamba alipata afueni ya muda ...

Our App