@Tuko

Mganga ajihukumu ahera kwa kukosa wateja

10 months ago, 3 Jan 22:53

By: Christopher Oyier

Mganga mmoja mjini Kitale amejiuwa kutokana na kupungua kwa wateja.Mganga huyo alitoweka Jumatatu, Januari 1 na baadaye kupatikana amefariki katika nyumba yake Wakazi wa eneo la Maili Saba katika kaunti ya Trans Nzoia walipigwa na butwaa Jumanne, Januari 2 baada yam ganga mmoja kujiuwa kwa sababu ya kukosa wateja. Mganga huyo anasemekana ,kutatizika sana baada ya wateja wake kupotea. Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka Habari Nyingine: Mganga mjini Kitale ajiuwa kwa kupungua kwa wateja. Picha: Kwa Hisani Habari Nyingine: Mwili wake ulipatikana ukining’ingia kwenye paa ya nyumba yake kutoka kwa kamba iliyofungwa humo kama ilivyoripotiwa na jarida la Citizen’s Edaily. Chifu wa eneo hilo Esther Waswa alithibitisha kisa hicho. Habari Nyingine: Majirani wa mganga huyo waliripoti kuwa alikuwa ametoweka Jumatatu, Januari 1 na akapatikana baadaye akiwa amefariki ndani ya nyumba yake. Read Una maoni? Una taarifa ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Read More

Category: topnews news

Suggested

5 hours ago, 19:43
@Tuko - By: Joshua Kithome
Jamaa, 20 kutoka Murang'a awaua mababu 2 usiku wa manane

Maafisa wa polisi katika kaunti ya Murang'a walimtia mbaroni jamaa wa miaka 20 kutoka kijiji cha Kahuti eneo bunge la Kiharu kwa kuwaua wanaume vikongwe 2 akiwemo babu yake, na kumwacha mwingine akiwa ...

Category: topnews news
5 hours ago, 19:33
@Tuko - By: Joshua Kithome
Jamaa auawa kwa kudungwa kisu na aliyekuwa mume wa mpenziwe Busia

Jamaa mmoja kutoka Busia anasakwa na maafisa wa polisi kwa kumuua mpenzi wa aliyekuwa mkewe katika hali tata ya kimapenzi. Jamaa huyo ambaye jina lake halijatolewa kwa vyombo vya habari alimdunga kisu ...

Category: topnews news
6 hours ago, 19:02
@Tuko - By: Christopher Oyier
Afisa wa polisi wa Recce akamatwa kuhusiana na mauaji ya Monica Kimani

Polisi jijini Nairobi wamemkamata afisa wa polisi wa kitengo cha Recce, Jennings Orlando Odhiambo, anayefanya kazi kwenye ubalozi wa Marekani aliyehusishwa na mauaji ya mfanyibiashara Monica Kimani al ...

Category: topnews news
6 hours ago, 18:42
@Tuko - By: Douglas Baya
Wema Sepetu's new lover accused of neglecting wife and newborn baby

Wema's new lover, identified as Patrick is said to have dumped his wife and their newborn baby for the actress who is currently enjoying his warmth as his family is struggling to win him back. For thi ...

Category: topnews news entertainment
6 hours ago, 18:19
@Tuko - By: Mbaluto Musili
Falcao is our goal scorer our charismatic leader - Monaco manager Thierry Henry

Monaco manager Thierry Henry has showered praise on forward Radamel Falcao describing his forward as the club's charismatic leader. The ex-Arsenal forward took over from Leonardo Jardim who was unable ...

Category: topnews news sports
6 hours ago, 18:22
@Tuko - By: Christopher Oyier
Deni la KSh 6 milioni la matibabu lamsukuma mjane kuamua kuuza nyumba ya familia

Familia moja ambayo inadaiwa deni la KSh 6 milioni ya matababu ya marehemu baba yao ilitangaza mtandaoni kuuza nyumba yao kwa nia ya kulipa deni hilo. Wanalenga kulilipa deni hilo ili aruhusiwe kumchu ...

Our App