@Tuko

Singezaliwa Ukambani, ningekuwa Mluo - Ezekiel Mutua asisimua Wakenya

9 months ago, 8 Mar 19:28

By: Christopher Oyier

Afisa mkuu mtendaji wa bodi ya kudhibiti vya filamu nchini (KFCB) Ezekiel Mutua amesema ikiwa hangezaliwa Ukambani, angelikuwa Mluo. Mutua aliandika ujumbe huo kwenye mitandao ya kijamii akipachika picha zake akiwa amevalia suti nadhifu na tai ya upinde ya rangi ya dhahabu kabla ya hafla ya tuzo za Oscars. Mkuu huyo wa KFCB aliandamana na kikundi cha ‘Watu Wote’ kwenye Makala ya 90 ya Tuzo za Oscar Academy kwenye yaliyoandaliwa kwenye ukumbi wa kuigiza filamu wa Bolby, Los Angeles siku ya Jumatatu, Machi 5, 2018. Filamu hiyo ya ‘Watu Wote’ iliteuliwa kwenye kitengo cha filamu fupi ya moja kwa moja Afisa mkuu mtendaji wa bodi ya kudhibiti filamu nchini (KFCB) Ezekiel Mutua amewafurahisha Wakenya kwa kufichua lugha yake nyingine ya mama. Kwenye kipachiko cha Facebook kilichotazamwa na TUKO.co.ke, Mutua alisema kuwa angelizaliwa Mluo ikiwa hangelitokea Ukambani. Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka Habari Nyingine: Picha alizopachika kwenye Facebook zilieleza kwa nini angelikuwa Mluo. Baadhi ya watu wa jamii ya Waluo wanajulikana kuwa na mbwembwe za mitindo ya maisha na mavazi. Mashabiki wake wengi walikubali kuwa suti yake, tai ya upinde ya rangi ya dhahabu na magari ya bei ghali yaliyokuwa kwenye picha hiyo yalidhibitisha alichosema. Habari Nyingine: Ezekiel Mutua akiwa Los Angeles, Marekani siku ya Jumatatu, Machi 5 muda mfupi kabla ya tuzo za Oscars Academy kufanyika. Picha: Facebook/Ezekiel Mutua Habari Nyingine: Habari Nyingine: Read Una maoni? Una taarifa ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Read More

Category: topnews news

Suggested

1 hours ago, 10:53
@Tuko - By: Samuel Maina
List of types of wine in Kenya

There are different ★TYPES OF WINE★ in Kenya. Wine is special to many people for different reasons, yet something in particular makes it different from other beverages. Read here on the various types ...

Category: topnews news
2 hours ago, 10:00
@Tuko - By: Julie Kwach
The best tips on how to kiss a guy you like to make a lasting impression

Have you gone out several times and now feel that you are ready for the next phase? This★HOW TO KISS A GUY★you like guide will help you prepare for the moment and make the lasting impression you desir ...

Category: topnews news
3 hours ago, 09:08
@Mpasho - By: Caren Nyota
'I gave birth to my first child inside a toilet and thought she wouldn't make it ,' Akothee narrates

Singer Akothee is a strong woman. The mother of five has been through it all in life including getting married when she was still a teenager. ...

Category: topnews news entertainment lifestyle
4 hours ago, 07:31
@Mpasho - By: Caren Nyota
Vera Sidika ataambia nini watu? Otile Brown now hanging out with Diamond Platnumz ex lover (Photos)

Otile Brown seems to be a happy man after parting ways with Vera Sidika. The Chaguo la Moyo singer has of late been spotted in the company of Diamond Platnumz’ alleged ex, Kimnana. ...

Category: lifestyle news topnews entertainment
1 hour ago
@Tuko - By: Jacob Onyango
New-looking coins to hit your wallet as Uhuru launches new generation currency

President Uhuru Kenyatta has officially launched the new generation coins in accordance 2010 Constitution. The new currency was unveiled on the morning of Tuesday, December 11, at the Central Bank of ...

Our App