@Tuko

Wanafunzi wa Rongo wafanya maajabu wakati wa mazishi ya Sharon

1 months ago, 19 Oct 16:24

By: Joshua Kithome

- Wanafunzi hao walikuwa wakipiga yowe wakitaka haki kutendeka

- Walipiga kelele wakitaka washukiwa wote waliohusika kwenye kifo cha Sharon kukabiliwa vilivyo kisheria

Hali ya wasiwasi ilitanda katika kijiji cha Marage kaunti ya Homabay baada ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Rongo kutatiza kwa muda ibada ya mazishi ya mwendazake Sharon Otieno aliyeuawa kinyama.

Habari Nyingine:

Wanafunzi hao walikuwa wakipiga kelele wakiagiza haki kutendeka kwenye kesi inayoendelea kuwatafuta wahusika kwenye kifo cha Sharon mwezi Septemba.

Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka

Habari Nyingine:

Wanafunzi hao walimkatiza mbunge wa Hama Bay Mjini, Peter Kaluma aliyekuwa akitoa hotuba kabla ya kuelekea kwenye jeneza lake Sharon na kuanza kumuombea. Kaluma alilazimika kukatiza hotuba yake na kuwaruhusu wanafunzi hao kumuomboleza mwenzao.

Habari Nyingine:

Wakiongozwa na kiongozi wao Evans Baraza, wanafunzi hao ambao walikuwa zaidi ya 100 walitaka washukiwa wote kufikishwa mahakamani na kukabiliwa kisheria.

"Sharon hakufaa kufa kwa njia katili namna hii," Alisema Baraza.

Read

Una taarifa motomoto au sakata ambayo ungependa tuichapishe? Wasiliana nasi kwa news@tuko.co.ke, mwangi.muraguri@tuko.co.ke ,kwenye WhatsApp: 0732482690 na kwenye Telegram: Tuko News

Read More

Category: topnews news

Suggested

5 hours ago, 08:43
@Tuko - By: Lauryn Kusimba
Kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka amzawadi rais mtaafu Daniel Moi mbuzi 2

Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka alimtembelea rais mstaafu Daniel Moi nyumbani kwake kule Kabarak Ijumaa Novemba 16 akiwa amembebea zawadi nono.Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari ...

Category: topnews news
1 hour ago
@Tuko - By: Tuko.co.ke
Kabogo blames successor Waititu for destroying expensive stadium he built

Former Kiambu Governor William Kabogo has blamed his successor Ferdinand Waititu of depleting the value Ruiru stadium which he used huge sums of taxpayers' money to build through holding numerous publ ...

Category: politics news topnews
6 hours ago, 07:28
@Tuko - By: Lauryn Kusimba
Mtangazaji adai kutekwa nyara na mwakilishi wa wanawake wa Meru

Mwakilishi wa wanawake wa Meru Kawira Mwangaza amejipata taabani baada ya kukashifiwa na mwanahabari wa runinga ya Weru kwa kumteka nyara na kumnyang'anya simu yake. Pata habari zaidi na utendeti kuto ...

Category: topnews news
1 hour ago
@Mpasho - By: Queen Serem
Stunning! Jacque Maribe makes first public appearance, find out where

Jacque Maribe has made her first public appearance in Naisula Lesuuda’s wedding. Maribe was dressed in a stunning gold dress as she posted for a photo with Politician Moses Kuria and friends. ...

Category: topnews news entertainment lifestyle
1 hours ago, 12:28
@Tuko - By: Asher Omondi
Raila attends first powerful AU summit since appointment in company of Uhuru

Opposition chief Raila Odinga attending the 11th Extraordinary Session of the Assembly of the African Union (AU) in Addis Ababa, the first one in his official capacity as the AU representative tarting ...

Category: topnews news
1 hours ago, 12:50
@Mpasho - By: Queen Serem
Congratulations! MP Naisula Lesuuda weds Robert Kiplagat (Photos)

Samburu West MP Naisula Lesuuda has tied the knot with the love of her life, Robert Kiplagat. The green and gold themed wedding was held in Samburu and attended by close friends, family and politician ...

Our App