@Tuko

Familia ya Diamond yamkubali mwana mvulana wa Hamisa Mobetto baada ya kuachana na Zari

3 months ago, 8 Mar 23:37

By: Christopher Oyier

Hatimaye, Diamond Platinumz na familia yake wamemkubali mwana mvulana wa Hamisa Mobetto, Abdhul kuwa wao.Hii ni baada ya Diamond kuandika kipachiko mtandaoni kilichowasifu Hamisa an Abdhul.Hayo yamejiri siku chache baada ya Diamond kutengana na Zari Hassan kwa kuwa na wapenzi wengi Mwanamuziki maarufu wa Tanzania Diamond Platinumz ameonyesha ari ya kuwa na mwanawe mvulana Price Abdhul ambaye mamake ni Hamisa Mobetto Diamond Alhamisi, Machi 8 alipachika mitandaoni picha ya Abdhul na kumsifu mamake Sandrah na Hamisa Mobetto. Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka Habari Nyingine: Akisherehekea siku ya wanawake duniani, mwimbaji huyo alichapisha picha ya mamake akiwa naye ndani ya gari na kuandika: “Mama yangu…Mam. Mama Nasibu. Mamaaaaa. Bibi Dully Bibi.” Habari Nyingine: Dadaka Diamond Esma aliwafurahisha wengi alipoandika kwenye kipachiko cha Diamond kuwa mwana mvulana wa Hamisa alifanana na bibi yake Sandrah. Kutokana na maoni ya Diamond akimjibu dadake Esma, inaonekana familia hiyo ya Dangote imemkubali Prince Abdhul kuwa wao. Wengi walishangazwa na kubadilika kwa msimamo wa Diamond na familia yake kumhusu Abdul, kwani hawajawahi kumsifu au kumzungumzia mtandaoni. Habari Nyingine: Tukio hilo limejiri siku chache baada ya Hamisa Mobetto kumshtaki Diamond mahakamani akitaka msanii huyo akidhi mahitaji ya mtoto wake. Ni wiki kadhaa zimepita baada ya Diamond kutengana na mpenzi wake raia wa Uganda Zari Hassan aliyedai ana wapenzi wengi. Habari Nyingine: Kutokana na kumchangamkia mwanawe, inaonekana Diamond anajaribu kumrejesha Hamisa maishani mwake kwa sababu hana mpenzi. Read Una maoni? Una taarifa ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke Wakenya wamzuia mchuuzi anayeishi na ulemavu dhidi ya kukamatwa na polisi – Kwenye
Read More

Category: topnews news

Suggested

1 hour ago
@Tuko - By: Fred Kennedy
Jack Wilshere confirms departure from Arsenal in an emotional message to fans

Arsenal star Jack Wilshere has announced his imminent departure from the club when his contract expires at the end of June. The 26-year old midfielder took to his Instagram on Tuesday evening to make ...

Category: topnews news sports
4 minutes
@Tuko - By: Francis Silva
Wimbo mpya wa rapa maarufu Bongo wafungiwa na BASATA

Kulingana na Baraza La Sanaa La Taifa (BASATA), nchini Tanzania, Mbilinyi ambaye ni rapa almaarufu Sugu, alikwenda kinyume na kanuni za kutunga muziki na kwamba wimbo wake una mashairi ambayo yanaweza ...

Category: topnews news
1 hours ago, 12:46
@Tuko - By: Pauline Mwabishi
Top trending women's Dashiki shirt designs 2018

A★DASHIKI SHIRT★design should be among your best African-themed clothes designs. With the variety offered by Dashiki print, the Dashiki shirt designs offered in this article are sure to be among the b ...

Category: topnews news
1 hours ago, 12:32
@Mpasho - By: Future Ex
My hubby has been smelling my 'nunu' for the last 17 years, narrates distressed Nairobi woman

A lady from Nairobi left listeners shocked when she narrated her story about the kind of embarrassment she has put up with in her marriage for the last 17 years, all in the name of her love for her ki ...

Category: topnews news
2 hours ago, 12:04
@Tuko - By: Francis Silva
Hamisa Mobetto asema Watanzania hawawezi kuishi bila yeye

Lakini ujumbe wake huo kupitia Instagram haukuwafurahisha mashabiki wake ambao sasa wameonekana kumshambulia kwa maneno makali, huku kila mtu kuandika kile alichojisikia kuhusiana na ujumbe wa mwanami ...

Category: topnews news
2 hours ago, 11:54
@Tuko - By: Mbaluto Musili
Paul Pogba flies London barber Ahmed Alsanawi to Russia to give France players' exotic haircut

Manchester United star Paul Pogba is a player whose love for making different types of hair cuts in the Premier League knows no bound, and he has also demonstrated it at the national team. He took bar ...

Our App