@Tuko

Jamaa apatikana akiwa hai ndani ya meli siku 2 baada ya ajali Tanzania

2 months ago, 23 Sep 09:08

By: Philip Mboya

- Serikali ya Tanzania imebainisha kuwa kuwa jamaa huyo aliyenusurika baada ya siku mbili ni mmoja wa wahandisi wa meli hiyo

- Alipatikana katika mfuko wa hewa ndani ya meli hiyo ya MV Nyerere akiwa katika hali mahututi

Habari Nyingine :

Waokoaji walifanikiwa kumnusuru jamaa mmoja Jumamosi, Septemba 22 ndani ya Meli ya MV Nyerere siku mbili baada ya meli hiyo kuzama na kuwaua watu 107.

Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka

Waziri wa usafiri na mawasiliano nchini Tanzania Isack Kamwelwe alimtambulisha jamaa huyo aliyenusurika kama Alphonce Charahani.

Habari Nyingine :

Kulingana na ripoti ya BBC, Alphonce ambaye alikuwa mmoja wa wahandisi wa meli hiyo alijifunga katika chumba kimoja katika mfuko wa hewa.

Licha ya kunusurika, imebainika kuwa jamaa huyo alipatikana akiwa katika hali mahututi.

Habari Nyingine :

Akizungumza na Xinhua, waziri huyo alibainisha kuwa madaktari wanafanya kila wawezalo kumuokoa Alphonce.

‘’ Jamaa huyo yuko katika hali mahututi lakini madaktari wanafanya kila nia kuokoa maisha yake,’’ Kamwelwe alisema.

Habari Nyingine :

Rais Magufuli ameagiza kuhusu kuwakamata wasimamizi wa meli hiyo akidai kuwa ajali hiyo ilisababishwa na uzembe.

Imebainika kuwa meli hiyo ilikuwa na zaidi ya abiria 200 ajali hiyo ilipotokea.

Read

Una taarifa motomoto au sakata ambayo ungependa tuichapishe? Wasiliana nasi kwa news@tuko.co.ke, mwangi.muraguri@tuko.co.ke ,kwenye WhatsApp: 0732482690 na kwenye Telegram: Tuko News

Read More

Category: topnews news

Suggested

1 hours ago, 13:50
@Tuko - By: Fred Kennedy
Liverpool line up January offer for Eden Hazard's brother Thorgan

Premier League side Liverpool are believed to be lining up a move for Belgium international Thorgan Hazard in January. The younger brother of Chelsea star man Eden Hazard has been in an impeccable for ...

Category: sports news topnews
1 hours ago, 13:29
@Tuko - By: Ryan Mutuku
Best Jamhuri day messages, pictures, and quotes

Celebrate Kenya's independence with these beautiful ⭐HAPPY JAMHURI DAY⭐ quotes, messages, and pictures. Feel free to share these quotes and messages with your friends and other patriots to show suppor ...

Category: topnews news
1 hours ago, 13:08
@Tuko - By: Francis Silva
Gavana wa zamani awapa polisi wiki kumpata Silvia Romana la sivyo aingie porini

Akizungumza Jumamosi, Desemba 9, wakati wa tamasha za Maulidi zilizofanyika kijiji cha Odha, Garsen, gavana huyo wa zamani alishangaa na kusema ni mwezi mmoja tangu Romana kuchukuliwa mateka na kufiki ...

Category: topnews news
2 hours ago, 12:46
@Tuko - By: Samuel Maina
15 best moustache styles for men (with images)

Read on to know about the various ★MOUSTACHE★ styles that you can pick to impress your girl. For men, beards are like their ornaments and a moustache completes the whole look. This article will give y ...

Category: topnews news
3 hours ago, 11:52
@Tuko - By: Francis Silva
Gavana Sonko asema jiji la Nairobi ni salama kuliko ilivyokuwa zamani

Akizungumza Jumamosi, katika Railway Club, Wakati wa Wiki kuhusu Wateja wa Huduma ya Kitaifa ya Polisi, gavana Sonko alisema visa vya uhalifu kaunti ya Nairobi vimepungua kwa asilimia kubwa tangu alip ...

Category: topnews news
4 hours ago, 10:58
@Tuko - By: Francis Silva
Somaliland yatarajia msuli wa Raila Odinga kuisaidia kupata uhuru

Kwa sababu ya historia ndefu kuhusu Raila na ukaribu wao na chama cha ODM, Somaliland inamtegemea sana katika kufanikisha azma hiyo, licha ya Raila kwa muda mrefu kutaka Kenya kuitambua Somaliland kuw ...

Our App