@Tuko

Mganga ajihukumu ahera kwa kukosa wateja

12 months ago, 3 Jan 22:53

By: Christopher Oyier

Mganga mmoja mjini Kitale amejiuwa kutokana na kupungua kwa wateja.Mganga huyo alitoweka Jumatatu, Januari 1 na baadaye kupatikana amefariki katika nyumba yake Wakazi wa eneo la Maili Saba katika kaunti ya Trans Nzoia walipigwa na butwaa Jumanne, Januari 2 baada yam ganga mmoja kujiuwa kwa sababu ya kukosa wateja. Mganga huyo anasemekana ,kutatizika sana baada ya wateja wake kupotea. Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka Habari Nyingine: Mganga mjini Kitale ajiuwa kwa kupungua kwa wateja. Picha: Kwa Hisani Habari Nyingine: Mwili wake ulipatikana ukining’ingia kwenye paa ya nyumba yake kutoka kwa kamba iliyofungwa humo kama ilivyoripotiwa na jarida la Citizen’s Edaily. Chifu wa eneo hilo Esther Waswa alithibitisha kisa hicho. Habari Nyingine: Majirani wa mganga huyo waliripoti kuwa alikuwa ametoweka Jumatatu, Januari 1 na akapatikana baadaye akiwa amefariki ndani ya nyumba yake. Read Una maoni? Una taarifa ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Read More

Category: topnews news

Suggested

6 hours ago, 21:44
@Tuko - By: Mbaluto Musili
Chelsea, Arsenal, 32 others to know Europa League round of 32 foes on Monday

Premier League duo of Chelsea and Arsenal top the 32 team list that progressed to Europa League round of 32 stage. Both teams avoided defeats in their last group game despite fielding not too strong s ...

Category: sports news topnews
6 hours ago, 21:13
@Tuko - By: Lauryn Kusimba
Aliyekuwa seneta mteule Joy Gwendo aachiliwa huru kwa dhamana

Aliyekuwa seneta mteule wa chama cha Jubilee Joy Gwendo ambaye alikuwa amehukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani ameachiliwa huru kwa dhamana ya KSh 400,000 baada kuomba kesi ya isikizwe tena.TUKO ...

Category: topnews news
6 hours ago, 21:04
@Tuko - By: Philip Mboya
Wafuasi wa Miguna Muguna wajawa furaha, ashinda jkesi ya uraia

Wafuasi wa wakili tajika ambaye pia ni jenerali wa vuguvugu la NRM Miguna Miguna wamejawa furaha si haba baada ya mahakama kumpa ushindi katika kesi kuhusu uraia. Shida zake zilianza punde tu baada ya ...

Category: topnews news
7 hours ago, 20:43
@Tuko - By: Julia Majale
Uhuru, Raila handshake hands them honorary PhDs from Jaramogi University

The two leaders were conferred the doctorates at Jaramogi Oginga Odinga University of Science and Technology. The university awarded them the honors for their historic handshake after the highly conte ...

Category: topnews news politics
7 hours ago, 19:58
@Tuko - By: Philip Mboya
Ujumbe wa Miguna Miguna kwa mawakili wake na Wakenya baada ya kushinda kesi

Katika uamuzi wake, hakimu Chacha aliiamuru serikali kumlipa Miguna fidia ya KSh 7. 2 milioni kufuatia hasara alizopata. Miguna amethibitisha kuwa atarudi Kenya ili kuendelea na azma yake ya kuwakombo ...

Category: topnews news
9 hours ago, 18:27
@Tuko - By: Mbaluto Musili
Tottenham's Heung Min Son win Premier League Goal of the Month of November

Tottenham forward Son Heung Min has emerged winner of the Premier league Goal of the Month award for the month of November. The Spurs attacker's brilliant solo effort in their 3-1 win against Chelsea ...

Our App