@Tuko

Mwanasiasa wa NASA Pwani awarai Uhuru, Raila na Moi wamuunge Ruto kuwa rais 2022

4 months ago, 3 Jan 23:34

By: Christopher Oyier

Mwanasiasa wa Pwani anayeegemea muungano wa NASA amewaomba Rais Uhuru Kenyatta, kinara wa NASA Raila Odinga na aliyekuwa rais Daniel Moi wamuunge mkono naibu wa rais William Ruto kuwania urais mwaka wa 2022.Rais Uhuru Kenyatta amekwisha tangaza kumuunga mkono naibu wa rais William Ruto atakapomaliza muhula wake wa pili na wa mwisho.Raila anatarajiwa kumuunga mkono mmoja kati ya vinara wa NASA ambaye atachaguliwa kuwania urais mwaka wa 2022.Mwanawe Rais mtaafu Daniel Moi, Gideo Moi ameonekana na wengi kujiandaa kwa kiti cha urais baada ya Uhuru kuondoka ikulu Kampeni za urais wa mwaka wa 2022 zimeshika kasi hata kabla ya rais Uhuru Kenyatta kuanza kazi kwa kasi chini ya muhula wake wa pili baada ya uchaguzi wake wa Oktoba 26 uliokumbwa na utata. Mazungumzo ya urais wa 2022 umeshika kasi huku kila mwanasiasa akivutia kwake kwa kumchagua mwaniaji wake bora. Tuma neno ‘NEWS’kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindizinapochipuka Habari Nyingine: Mwanasiasa wa Pwani Simon Adalla ameunga mkono naibu wa rais William Ruto kuwania urais mwaka wa 2022. Picha: William Ruto/Facebook Habari Nyingine: Naibu wa rais William Ruto amepigiwa upato mkubwa kuwania kiti hicho akisubiri ushindani mkali kutoka kwa mwaniaji wa muungano wa NASA. Habari Nyingine: Simon Adalla alisema kuwa Ruto alisitisha azimio lake la kuwania urais mwaka wa 2013 na kumuunga mkono Rais Uhuru Kenyatta. Picha: PSCU Mwanasiasa wa Pwani Simon Adalla aliyepoteza kiti cha eneo bunge la Nyali kwa mwanahabari Mohamed Ali amemuunga mkono naibu wa rais William Ruto, akiziomba familia zenye ushawishi kisiasa kumzawadi Ruto kwa mafanikio aliyoyaleta. Adalla aliwania kiti hicho kwa tiketi ya chama cha Green Congress of Kenya lakini alionekana kuegemea kampeni za NASA. Simon Adalla amewataka Raila Odinga, Uhuru Kenyatta na rais mstaafu Daniel Toroitich Arap Moi kumuunga mkono William Ruto kuwania urais mwaka wa 2022. Picha: Raila Odinga/NASA Kulingana na Adalla, mwaka wa 2007. Ruto alimsaidia Raila pakubwa kupata kura za Wakalenjin na kusimama naye licha ya mtafaruku uliokuwepo na sasa ni wakati wa Raila kumzawadi pia. Mwaka wa 2013, Ruto alisitisha nia yake ya kuwania urais na kumuunga mkono Uhuru na wawili hao wakamshinda Raila Odinga wa ODM katika uchaguzi ulioshuhudia ushindani mkali. Adalla anasema ni haki kwa wawili hao kumuunga mkono Ruto atakapowania urais mwaka wa 2022. Haya ni kwa mujibu wa ripoti za jarida la Diaspora Messenger. Read Una maoni? Una taarifa ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke Wakenya waisuta NTSA kwa kukosa ujuzi na ufisadi na kuitaka ivunjiliwe mbali – Kwenye
Read More

Category: topnews news

Suggested

9 hours ago, 20:10
@Tuko - By: Rene Otinga
Raila’s entry into government, signals the end of political reforms?

The mention of Raila Odinga’s name conjures different imageries among Kenyans. To his fans, he is a super political reformer, a compass for Kenya’s political journey and a politician of all seasons. W ...

Category: topnews news
9 hours ago, 19:38
@Tuko - By: Michael Ollinga Or ...
Uhuru, Raila to form committee to address Kenyan heroes’ welfare

The president expressed concern saying many Kenyans who have made immense contributions to the country’s transformation and have put Kenya on the world map through great deeds of patriotism have not b ...

Category: topnews news politics
9 hours ago, 20:03
@Tuko - By: Mbaluto Musili
Jerome Boateng could miss this year's World Cup after sustaining injury

Bayern Munich defender Jerome Boateng will be out for the rest of the season, but might return early for this year's World Cup after suffering thigh injury in his side's 2-1 defeat to Real Madrid on W ...

Category: sports news topnews
8 hours ago, 20:46
@Tuko - By: Asher Omondi
Meet man claiming to be Jeff Koinage’s long lost son

Tony Gitere joked he will carry a placard describing himself as his son to Royal Media Services (RMS) where Citizen is based. He was poking fun at lady Tamara Rasheel who had claimed to be President U ...

Category: topnews news entertainment
9 hours ago, 20:20
@Tuko - By: Stephen Kamau
How to deposit to Sportpesa account in Kenya

Sportpesa is one of the important sources of income for the Kenyans. To earn some money on sportpesa you need to register on sportpesa and load some cash into it. Here, you will get to know ⭐HOW TO DE ...

Category: sports news topnews
10 hours ago, 19:23
@Tuko - By: Asher Omondi
I saved Matiba's life while in detention thanks to a toilet paper - Raila Odinga

Raila captured audience with a brief history of the days when he and Matiba alongside other opposition luminaries dodged police arrests in the wake of multi-party calls. Raila inscribed a message on t ...

Our App