@Tuko

Wakenya 1,300 wanateseka kwenye magereza ya kigeni, wengi wakiwa Uchina

3 months ago, 9 Mar 00:08

By: Christopher Oyier

Angalau Wakenya 1,300 wanahudumia vifungo vya jela kwa mataifa ya kigeni kwa makosa tofauti.Katika yao, 478 wamehukumiwa katika nchi tofauti huku 80 wakihudumia vifungo vya nchini Uchina.Waziri wa maswala ya nje Monica Juma alisema serikali itaendelea kuhakikisha kuw araia wa Kenya walio nje ya nchi wako salama Wengi wa Wakenya wanaohudumia vifungo vya jela kwenye nchi za kigeni ni wale walio nchini Uchina, waziri wa maswala ya nje Monica Juma amesema. Jumla ya Wakenya 1,300 wamefungwa kwenye magereza ya nchi za kigeni na kati yao, 478 wamehukumiwa kifungo. Wengi wa waliohukumiwa wanahudumu kifungo cha maisha. Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka Habari Nyingine: Waziri wa maswala ya kigeni Monica Juma amesema kuwa angalau Wakenya 1,300 wamezuiliwa katika magereza ya nchi za kigeni, ikiwemo Tanzania. Picha: Kwa Hisani Uchina inaongoza kwa kuwazuilia Wakenya 80 huku Tanzania ikiongoza kwa kuwaweke gerezani Wakenya 79. Uganda na Ethiopia zina Wakenya 47 na 15 mtawalia walio gerezani. Waziri Monica Juma aliyasema hayo alipozindua sera za Kenya kuhusu mambo ya kigeni siku ya Alhamisi, March 8 ambapo alinukuliwa na gazeti la Nation akisema kuwa haikuwa makosa kwa Wakenya kufungwa jela katika nchi za kigeni. “Si jambo lililo la kawaida kwa Wakenya kufungwa katika nchi za kigeni. Tumefanya mazungumzo kuwarejesha baadhi ya wafungwa hao na inachukua muda.” Monica alisema. Juma alisema kuwa serikali itaendelea kuhakikisha usalama wa Wakenya popote walipo. Habari Nyingine: “Tunajitahidi kuwalinda Wakenya popote walipo na tutaendelea kubuni mbinu za kuwalinda waliko.” Monica Juma aliongeza. Juma ambaye alichukuwa nafasi wa waziri Amina Mohamed kuiongoza wizara hiyo alisema kuna hofu kuwa waliokamatwa ugenini wanaweza kulazimishwa kuishi kwa mazingira mabaya. Habari Nyingine: “Ikiwa Mkenya yeyote atakamatwa au kufungwa kabla ya sisi kuarifiwa, ni lazima tutalalamika kwa kuwa hilo litakiuka sheria ya kimataifa.” Waziri huyo alisema. Mwaka wa 2009, Wakenya watano walinyongwa nchini Uchini baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya huku wengine wakihukumiwa kifungo cha maisha gerezani. Read Una maoni? Una taarifa ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke Nilipoteza mguu wangu Afghanistan. Nilikuwa karibu kukata tamaa. Kwenye
Read More

Category: topnews news

Suggested

1 hours ago, 15:39
@Tuko - By: Rene Otinga
EACC is nothing but a massage polour for Kenya’s political grand thieves

Massage is good for relaxation, or so they say. It is largely a private affair that does not dominate media headlines; except in Kenya. I know you might be wondering where exactly or when you saw a ma ...

Category: topnews news
2 hours ago, 15:01
@Mpasho - By: Lily Mwangi
'There needs to be a lot of respect' Janet Mbugua's sister in law, Evaline on blended family

Evaline Momanyi, Janet Mbugua’s sister in law has finally succumbed to pressure. ...

Category: topnews news lifestyle entertainment
2 hours ago, 14:40
@Tuko - By: Douglas Baya
Money Man: Victor Wanyama steps out in a KSh 23,000 T-shirt

Harambee Stars captain Victor Wanyama on Tuesday, June 19, brought social media to a standstill after Kenyans laid their eyes on a designer t-shirt he had worn to an interview with Radio Jambo's prese ...

Category: entertainment news topnews
39 minutes
@Tuko - By: Michael Ollinga Or ...
Kenya would save KSh2 billion every week if thieves didn't steal on Weekends - MP Alfred Keter

Nandi Hills MP Alfred Keter has stated that if individuals who steal public money through corruption deals would only rest during weekends the country would save at least KSh 96 billion every year whi ...

Category: topnews news politics
Now
@Tuko - By: Mbaluto Musili
Morocco's Nordin Amrabat slams referee Mark Geiger for allegedly asking for Ronaldo's shirt

Watford star Nordin Amrabat has accused American referee Mark Geiger of asking for Cristiano Ronaldo's jersey during Morocco's slim defeat to Portugal on Wednesday, June 20. The 33-year-old scored the ...

Category: topnews news sports
3 hours ago, 14:15
@Tuko - By: Mbaluto Musili
David Beckham predicts an England vs Argentina affair at the World Cup 2018 final

Former England and football icon David Beckham has tipped England to go all the way to the final and meet Lionel Messi's Argentina in the World Cup Russia finals. Albiceleste, have had a long history ...

Category: sports news topnews

Our App